Mkali wa muziki wa asili ya Kihaya, Saida Karoli, atawasili bukoba kufanya matamasha makubwa mawili la kwanza ni usiku wa saida karoli, litafanyika tarehe,7.9.2013 Jumamosi kuanzia saa 2 usiku kiigilio V.I.P ni Tsh.15000/= tu na kawaida ni Tsh.10,000/= tu na Tarehe 8.9.2013 Jumapili ni katika uwanja wa Kaitaba Kiingilio ni Tsh.2500/= tu. Saida Karoli atasindikizwa na Jopo la wasanii lukuki waliowahi kurekodia nyimbo zao ndani ya Tivol Studio wakiwemo wasanii wa nchi Jirani.
No comments:
Post a Comment