
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi Bendera ya Taifa, Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigitte Alfred (katikati) anaetarajiwa kuondoka hivi karibuni kwenda nchini Indonesia kushiriki Mashindano ya Urembo wa Dunia (Miss World 2013). Kushoto ni Mlezi wa Kamati ya Miss Tanzania,Mh. Emmanuel Ole Naiko.


Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigitte Alfred akikumbatiana na mama yake mzazi wakati wa kumuaga.

Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigitte Alfred akitoa shukrani zake usiku huu wakati anaagwa





No comments:
Post a Comment