BUKOBA SPORTS

Wednesday, September 4, 2013

ANDY MURRAY ATINGA HATUA YA ROBO MASHINDANO YA US OPEN


Job done: Murray is through to the quarter-finals after defeating Istomin in four sets
Andy Murray
Bingwa mtetezi wa mashindano ya tenisi ya US Open Andy Murray amefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano baada ya kumlaza Denis Istomin wa Uzbekistan.
Kwa ushindi huo Andy Murray sasa atakabiliana na Stanislas Wawrinka katika hatua hiyo ya robo fainali siku ya Alhamisi ya wiki hii.
Andy Murray mwenye umri wa miaka 26 alipata wakati mgumu na hatimaye kufanikiwa na ushindi wa seti za 6-7 (5-7) 6-1 6-4 6-4.
Setting: A beautiful scene at the Arthur Ashe Arena as the sun sets behind Manhattan
Mwonekano mzuri wa uwanja wa Arthur Ashe Arena nyuma ni jua likizama Manhattan

Andy Murray alimsifu mpinzani wake Denis Istomin na kusema kuwa alimpa wakati mgumu kutokana na umahiri wake kimchezo. Mchezaji huyo amesema kuwa kwa sasa anaelekeza nguvu katika mchezo wake wa robo fainali ili apate ushindi katika harakati zake za kutetea ubingwa.Elation: The delight in Murray's box is evident as the Scot takes the third setMashabiki wa Andy Murray wakimshangilia hapa jukwaani.
Under the lights: Murray plays a backhand on Arthur Ashe Stadium
Murray akicheza huku mataa yakimlika mwanga kwenye eneo la Arthur Ashe Stadium
Focus: Murray comes in to play the volley
Murray akicheza uwanjani
Get in: Kim Sears celebrates as boyfriend Murray fights back
Mpenzi wa Murray akifurahia baada ya jembe lake kushinda na kutinga hatua ya robo ya michuano hiyo ya US OPEN 2013.Murray nae akicheka kwa furraha hapa

No comments:

Post a Comment