
Manchester City wakiwa kwao Etihad kucheza Dabi na Mahasimu wao wakubwa Manchester United, City wameifunga United bao 4-1, Sergio Agüero akifunga bao mbili peke yake bao la kwanza dakika ya 16 baada ya kupata Krosi safi na kuunganisha hadi kwenye lango la Manchester United baada ya mabeki wa United kufanya makosa ya ukabaji. Yaya Toure anaipatia bao la 2 dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza na mpira unamalizika kwa kwa kipindi cha kwanza City wakiwa 2-0 dhidi ya united.
Aguero akifunga bao la kwanza
Yaya Toure akifanya 2-0dakika za mwishoni kipindi cha kwanza 45+1 baada ya kona kupigwa
Yaya Toure akishangilia baada ya kufunga bao
Wayne Rooney, Danny Welbeck na Michael Carrick Hoi kila mmoja kachoka kivyake!!
Robin van Persie ameutazama mpira akiwa nje
Refa Howard Webb akimwonesha kadi ya njano Matija Nastasic
Marouane Fellain akikabwa na Yaya Toure pamoja na Vincent Kompany kulia
Jesus Navas akikimbizwa na Ashley Young
Manuel Pellegrini kulia akiwapa maelekezo wachezaji wake
Wayne Rooney akimpa mkono Vincent Kompanybaada ya majanga ambapo Rooney amepewa kadi ya njano ya kwanza kwenye Debi ya Manchester leo hii Etihad.
Aguero akifunga bao la tatu kiurahisi hapa
Aguero akipongezwa, Alvaro Negredo na Samir Nasri
Mashabiki wa City wakapagawa! full mizuka ya ushindi!
Mashabiki wa City mikono juu
Marouane Fellaini na Yaya Toure
Samir Nasri akifanya mbwembwe baada ya kufunga bao la nne na kufanya 4-0 dhidi ya United
Nasri akishangilia kwa mbwembwe kwenye kona
Joe Hart akipongezana na Rooney mwishoni mwa mechi hiyo
Rooney, Chris Smalling na David de Gea wakiondoka uwanjani.
Hoi!
Tom Cleverley na Michael Carrick vichwa chini!!
VIKOSI:
Manchester City: Hart 7,
Zabaleta 7, Kompany 7, Nastasic 7, Kolarov 7, Jesus Navas 8 (Milner 71
6), Toure 8, Fernandinho 8, Nasri 9, Aguero 8 (Javi Garcia 86), Negredo 8
(Dzeko 75).Subs not used: Richards, Lescott, Pantilimon, Jovetic.
Booked: Nastasic.
Goals: Aguero 16, Toure 45, Aguero 47, Nasri 50.
Manchester United: De Gea 5, Smalling 6, Ferdinand 6, Vidic 5, Evra 6, Carrick 6, Fellaini 5, Valencia 5, Rooney 6, Young 5 (Cleverley 51 6), Welbeck 6.
Subs not used: Evans, Hernandez, Nani, Kagawa, Buttner, Amos.
Booked: Rooney, Valencia.
Goal: Rooney 87
Referee: Howard Webb
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal 3 v 1 Stoke City
15:30 Crystal Palace 0 v 2 Swansea City
18:00 Cardiff 0 v 1 Tottenham Hotspur
18:00 Manchester City 4 v 0 Manchester United
No comments:
Post a Comment