Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimmwagia maji muuaji wa timu ya Yanga, Joseph Kimwaga mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azama ilishinda 3-2.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamisi Kiiza akichuana na beki wa Azam FC, Waziri Salum (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-2.
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akioneshana ubabe na beki wa Azam Fc, Kipre Balou katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Azam ilishinda 3-2.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la tatu la timu yao. (Picha zote na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment