Luis Suarez nae akifurahia bao lake la pili kwa msimu huu baada ya kurudi tangu kufungiwa kwake mechi 10 na hapa aliifungia bao Liverpool dakika ya 36 kipindi cha kwanza baada ya kupewa krosi safi kama kona na kuteleza na mpira hadi nyavuni.
Sunday, September 29, 2013
ENGLISH PREMIER LEAGUE: SUNDELAND 1 v LIVERPOOL 3, KOCHA MPYA WA SUNDERLAND AKARIBISWA KWA KICHAPO, SUAREZ AANZA KUTEMA CHECHE ATUPIA MBILI LEO HII!!
Luis Suarez nae akifurahia bao lake la pili kwa msimu huu baada ya kurudi tangu kufungiwa kwake mechi 10 na hapa aliifungia bao Liverpool dakika ya 36 kipindi cha kwanza baada ya kupewa krosi safi kama kona na kuteleza na mpira hadi nyavuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment