Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve wa (wa pili kulia) akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Garden, Said amaohamed, mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja mauzo wa Mkoa wa Iringa, Philipo Kabecha na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Nahodha Saidi Mohamedi akikabidhiwa Kikombe
Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve(kulia) akimkabidhi kitita cha fedha taslimu shilingi 700,000/= nahodha wa klabu ya Garden , Said Mohamed mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na wachezaji kuhusu bia ya Safari
Wachezaji wa Klabu ya Garden wakishangilia mara baada ya kuibuka mabingwa
Meneja wa Bia ya Safari Lager , Oscar Shelukingo (kulia) akimkabidhi kitita cha fedha taslimu shilingi 350,000/= bingwa wa Singles wanaume , Good Lover Ntalange kutoka klabu ya Garden katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.
Wachezaji wa Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa wa mashindano ya Safari Pool Mkoa wa Iringa.
Wachezaji wa Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa na kikombe mara baada ya kukabidhiwa wakati wa fainali za mashindano ya Safari Pool Mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment