
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashimu Lundenga akifafanua jambo wakati akitangaza viingilio vya shindano la Redd’s Miss Tanzania jijini Dar es Salaam, ambapo VIP, itakuwa Sh. 100,000 na sehemu ya kawaida sh. 50,000. Shindano hilo litafanyika leo Septemba 21 katika ukumbi wa Mlimani City. Kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro.

Meneja wa kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro akitangaza wasanii watakaotumbuiza.




Kazi ipo kweli kweli...
Msanii kutoka Nchini Uganda Michael Ross kuwasha moto leo hii.

MAJINA YA WASHIRIKI WA REDD'S MISS TANZANIA 2013:
HAPPINESS WATIMANYWA
ESHYA RASHID
JANETH AWET
CLARA BAYO
DORICE MOLLEL
LATIFA MOHAMED
SALSHA ISDORY
PRISCA PAUL
LUCY TOMEKA
SEVERINA LWINGA
SABRINA JUMA
MIRIAM MANYANGA
LINA ALLAN
LUCY JAMES
GLORY STEPHEN
NEEMA SHAYO
ALICE ISAACK
SARAH PAUL
PHILLIOS LEMI
NANCY MOSHI
JACLINE LUVANDA
DIANA LAIZER
LUCY CHARLES
SVETLANA NYAMEYO
NARIETHA BONIFACE
MARY CHEMPONDA
NICE JACK HERMAN
ANASTAZIA DONALD
NEEMA MALITI
ELIZABETH PERTY
No comments:
Post a Comment