RATIBA/MATOKEO
Jana Jumamosi 21 Septemba
14:45 Norwich City 0 v 1 Aston Villa
17:00 Liverpool 0 v 1 Southampton
17:00 Newcastle United 2 v 3 Hull City
17:00 West Bromwich Albion 3 v 0 Sunderland
17:00 West Ham United 2 v 3 Everton
19:30 Chelsea 2 v 0 Fulham

Leo Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal v Stoke City - Referee: Mike Dean
15:30 Crystal Palace v Swansea City - Referee: Kevin Friend
18:00 Cardiff City v Tottenham - Referee: Mark Clattenburg
18:00 Manchester City v Manchester United - Howard Webb

Jumapili
kuna mitanange minne na wa kuvutia ni mtanange wa Jiji la Manchester
wakati Mabingwa Manchester United watakapotua Etihad kucheza na Mahasimu
wao, Manchester City.
Makocha wote David Moyes na Manuel itakuwa ni mechi yao ya kwanza kwa msimu huu kukutana uso kwa uso kwenye Debi hiyo ya Mji wa Manchester. Nani kumzidi kete mwezake?
Kocha David Moyes anaamini Wayne Rooneykwenye mtanange huo kwa asilimia kubwa kwamba ataleta mabadiriko makubwa na ni wakati muafaka kwa Rooney kuonyesha cheche zake kama mmoja wa Wachezaji Bora Duniani.
Kumbuka Wayne Rooney alikuwa mwiba siku hizi za hivi karibuni na amefunga mabao mawili kwenye Uefa Champions juzi na alifunga bao moja kwenye mechi ya ligi kuu kwa timu ya Crystal Palace iliyopanda daraja msimu huu.
No comments:
Post a Comment