KILI MUSIC TOUR YASHIKA KASI JIJINI!! WAKAZI WA JIJI WAKIENDELEA KUMIMINIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIONI HII KWA SHOW
Jukwaa la Kili Music Tour kama linavyoonekana huku wakazi wa Jiji la Dar wakiendelea Kujitokeza Kwa Wingi katika Viwanja Vya Leaders Usiku huu. Baadhi ya wakazi wa Jiji wakiwa tayari kwa Show ya Kili Music Tour inayoendelea Usiku Huu katika Viwanja vya Leaders
No comments:
Post a Comment