Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na mchakato wa kumpata Katibu mpya wa klabu hiyo. Kushoto ni Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Mohamed Binda. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment