Mshindi wa taji la Taifa la Miss Utalii Tanzania 2012/2013, Hadija Saidi
Juma Mswaga, ambaye pia ni Miss Utalii Morogoro 2012/13, ataondoka nchini
28-9-2013 kwenda nchini Equatorial Guinea, ambako Fainali za Dunia za Miss
Tourism World 2013/14 zinafanyika Tarehe 12-10-2013 katika ukumbi wa
kimataifa wa Sipopo Conference Centre Malabo Equatorial Guinea. Kwa mujibu wa Taarifa iliyo tolewa na Fredy Njeje, mkurugenzi wa Habari na
Masoko wa Miss Tourism Tanzania Organisation (MTTO), jumla ya washiriki
kutoka nchi 126 Duniani watashiriki katika mashindano hayo ya Dunia,ambayo

No comments:
Post a Comment