Muller aliendelea kudai kuwa kwa usajili waliofanya Madrid msimu huu hawakupaswa kumruhusu Ozil kuondoka lakini muda mwingine mambo kama hayo hutokea katika soka. Kwa upande wake Muller amesema hana mpango wowote wa kuikacha klabu yake ya Bayern na kukiri kuwa na furaha kufanya kazi chini kocha mpya Pep Guardiola kama ilivyo kwa Joachim Loew katika timu ya taifa ya Ujerumani.Wednesday, September 4, 2013
MULLER AIPONDA MADRID KUMRUHUSU OZIL KWENDA ARSENAL.
Muller aliendelea kudai kuwa kwa usajili waliofanya Madrid msimu huu hawakupaswa kumruhusu Ozil kuondoka lakini muda mwingine mambo kama hayo hutokea katika soka. Kwa upande wake Muller amesema hana mpango wowote wa kuikacha klabu yake ya Bayern na kukiri kuwa na furaha kufanya kazi chini kocha mpya Pep Guardiola kama ilivyo kwa Joachim Loew katika timu ya taifa ya Ujerumani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment