BUKOBA SPORTS

Friday, September 6, 2013

SULE YA MSINGI LUKUGU ILIYOPO WILAYA YA MISSUNGWI - MWANZA YAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO


Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa kituo cha Televisheni cha Star TV Abdala Tilata akishauriana jambo na Meneja wa Vodacom wilaya ya Missungwi Gift Tesha(katikati) na MenejaUhusiano wa Nje wa Kampuni hiyo Salum Mwalim muda mfupi kabla ya Vodacom kukabidhi vifaa vya michezo kwa shule ya MsingiLukungu iliyopo Wilayani Missungiwi Mkoani Mwanza.
MenejaUhusiano wa Njewa Vodacom Salum Mwalim akiongea kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vilivyotolewa na Vodacom kwa shule ya Msingi Lukugu iliyopo Wilaya ya Missungwi mkani Mwanza. Kushoto kwake ni Meneja wa Vodacom Missungwi

Wanafunzi wa shule ya Msingi Lukungu.

No comments:

Post a Comment