BUKOBA SPORTS

Saturday, September 7, 2013

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 LIKIENDELEA USIKU HUU UWANJA WA SOKOINE MKOANI MBEYA.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo, Neylee akiimba kwa hisia jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine.
Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine,ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii aliyewahi kuiwakilisa shindano la BSS,Walter Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu.
MKali wa kukamua mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akiwarusha maelfu ya mashabiki
Walter Chilambo Jukwaani akifanya mambo yake


Mashabiki wakiburudika hapa.





Ney wa Mitego















No comments:

Post a Comment