BUKOBA SPORTS

Friday, September 20, 2013

TAZAMA MAPICHA YA INTERVIEW YA LULU NDANI YA MKASI SHOW


Wiki Iliyopita New Season ya Mkasi Ilimkaribisha msanii wa Filamu Lulu Michael kwenye kipindi cha mkasi. Hii ni baada ya kutoka Jela alipotolewa kwa dhamana. Kaa tayari kwa vipindi vya Mkasi Vinavyofata kujua Lulu aliongelea nini? Je Safari hii atatudanganya MIAKA???? Photography by @SlideVisuals

No comments:

Post a Comment