BUKOBA SPORTS

Saturday, September 21, 2013

WEST BROMWICH ALBION 3 vs SUNDERLAND 0, STEPHEN SESSEGNON AMZIDISHIA MACHUNGU Di CANIO, AKIPIGWA KICHAPO CHA NNE KWA MSIMU HUU.


Mchezaji aliehama Sunderland, Stephane Sessegnon, leo ameifungia West Brom Bao la kwanza katika Mechi yake ya kwanza tu na kuhakikisha Sunderland ikipata kipigo chake cha 4 cha kwenye Ligi Msimu huu.
Bao la Pili la WBA lilifungwa na Liam Ridgewell katika Kipindi cha Pili na Morgan Amalfitano kupachika Bao la Tatu.
Sunderland walilazimika kucheza Dakika 15 za mwisho wakiwa Mtu 10 baada ya Steven Fletcher kuumia na wao wakiwa washaingiza Wachezaji wote watatu.
Kipigo noma!! Paulo Di Canio aliyezoea kuruka juu na kubanjuka leo hii akiwa ugenini kapigwa na Westbromwich Albion bao 3-0 Kocha wa Sunderland Paulo Di Canio akiwa kakata tamaa hapa baada ya kipingo Pressure - Di CanioPressure - Di CanioPressure - Di CanioDi Canio akiwa analalamikia wachezaji wake hapa Kumbuka wiki iliyopita alifungwa na Arsenal na leo hii kipigo na kipigo hicho kitaendelea kumuweka chini mkiani zaidi akiwa amecheza michezo mitano na pointi 1 na akiwa na madeni ya mabao jumla aliyofungwa 8.Di Canio akishangaa baada ya kufungwa na Stephane Sessegnon.

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI ZA LEO.
2013-2014 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Chelsea 5 3 1 1 6 2
3 0 0 6 1
0 1 1 0 1
4 10
2 Liverpool 5 3 1 1 5 3
2 0 1 2 1
1 1 0 3 2
2 10
3 Arsenal 4 3 0 1 8 5
1 0 1 2 3
2 0 0 6 2
3 9
4 Tottenham Hotspur 4 3 0 1 4 1
2 0 0 3 0
1 0 1 1 1
3 9
5 Everton 5 2 3 0 6 4
1 1 0 1 0
1 2 0 5 4
2 9
6 Southampton 5 2 2 1 3 2
0 2 0 1 1
2 0 1 2 1
1 8
7 Manchester City 4 2 1 1 8 3
2 0 0 6 0
0 1 1 2 3
5 7
8 Manchester United 4 2 1 1 6 2
1 1 0 2 0
1 0 1 4 2
4 7
9 Stoke City 4 2 1 1 3 2
1 1 0 2 1
1 0 1 1 1
1 7
10 Hull City 5 2 1 2 5 7
1 1 0 2 1
1 0 2 3 6
-2 7
11 Newcastle United 5 2 1 2 5 8
1 1 1 3 3
1 0 1 2 5
-3 7
12 Aston Villa 5 2 0 3 6 6
0 0 2 1 3
2 0 1 5 3
0 6
13 West Bromwich Albion 5 1 2 2 4 4
1 0 2 3 3
0 2 0 1 1
0 5
14 West Ham United 5 1 2 2 4 4
1 0 2 4 4
0 2 0 0 0
0 5
15 Cardiff City 4 1 2 1 4 5
1 1 0 3 2
0 1 1 1 3
-1 5
16 Swansea City 4 1 1 2 5 7
0 1 1 3 6
1 0 1 2 1
-2 4
17 Norwich City 5 1 1 3 3 6
1 1 1 3 3
0 0 2 0 3
-3 4
18 Fulham 5 1 1 3 3 7
0 1 1 2 4
1 0 2 1 3
-4 4
19 Crystal Palace 4 1 0 3 4 6
1 0 1 3 2
0 0 2 1 4
-2 3
20 Sunderland 5 0 1 4 3 11
0 0 2 1 4
0 1 2 2 7
-8 1

No comments:

Post a Comment