Friday, October 4, 2013

EUROPA LEAGUE: SWANSEA CITY 1 v St GALLEN 0, BAO LA WAYNE ROUTLEDGE LATOSHA KUWAPA USHINDI!!


Bao la pekee la Dakika ya 52 Wayne Routledge Usiku huu huko Liberty Stadium limewapa Swansea City ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na St Gallen ya Holland.
St Gallen walipata Penati katika Dakika ya 15 na kupigwa na Karanovic lakini Kipa Tremmel akadaka.
Huo ni ushindi wa pili katika Mechi mbili za Kundi A kwa Swansea baada ya kuichapa Valencia 3-0 huko Spain.

Tame: Swansea goalkeeper Gerhard Tremmel saves a penalty from St Gallen player Goran Kranovic
Kipa wa Swansea  Gerhard Tremmel akiokoa mkwaju wa penati uliopigwa na Goran Kranovic
Nearly down: St Gallen were awarded the penalty in the first half after Tiendalli's handball
Alianza kutishia kwanza,kisha kipa wa Swansea akamchungulia na kudaka mkwaju huo...

Pacey: Swansea City's Wayne Routledge (right) skips past a challenge from St Gallen's Ermir Lenjani
Mchezaji wa  Swansea City Wayne Routledge kulia akikatiza kwenda kufunga bao hilo ambalo kipa wa St Gallen alizania ni kuotea kumbe la......

VIKOSI:
Swansea: Tremmel 7;  Tiendalli 5, Flores 5, Amat 6, Davies 6 (Dyer 62, 6); Britton 5, De Guzman 6; Pozuelo 5 (Shelvey 83), Michu 5, Routledge 6; Bony 7 (Vazquez 70, 6).
Subs Not Used: Vorm, Taylor, Lamah, Canas.

Booked: Michu,Ben Davies,Dyer.
Goals: Routledge 52.
St Gallen: Lopar, Martic, Montandon (Russo 73), Besle, Lenjani, Mutsch, Janjatovic,Vitkieviez, Mathys, Rodriguez (Nater 62), Karanovic (Keita 46).
Subs Not Used: Herzog, Nushi, Wuthrich, Demiri.

Booked: Martic.
Att: 17,000
Ref: Duarte Gomes (Portugal).

No comments:

Post a Comment