Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa benki hiyo kuwakaribisha wateja wa benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, wakiwakaribisha wateja wa benki hiyo kwa kuwafungulia Champagne.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kuwapa Champagne wateja wa benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwahudumia wateja wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akimuhudumia mteja.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiongea na waandishi wa habari.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwa na Meneja Uhusiano wa benki hiyo, Godwin Semunyu.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na wadau wa benki hiyo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwapa vinywaji baadhi ya wateja waliofika katika tawi la benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
Keki maalum iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Arusha kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akikata keki wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akimlisha keki mmoja wa wateja waliofika katika tawi la benki hiyo jijini Arusha, jana wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akimlisha keki Meneja wa Biashara za Benki, Jenipher Tondi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya CRDB, wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment