Manchester City wameifunga Everton na kumaliza ubishi wao wa kutofungwa tangu msimu huu mpya uanze wa 2013/2014.
Everton ndio walitangulia kufunga kwa Bao la Mchezaji wa Mkopo kutoka Chelsea, Romelu Lukaku na kudumu Dakika moja tu kwa City kusawazisha kwa Bao la Dakika ya 17 kuvitia Alvaro Negredo na Sergio Aguero kuipa City Bao la Pili kabla Haftaimu.
Bao la tatu la City lilifungwa kufuatia Penati ya kilaini iliyotolewa baada Zabaleta kusukumwa huku Everton wakinyimwa Penati ya aina hiyo hiyo kufuatia kuangushwa Lukaku.
Aguero alipiga Penati hiyo iliyochezwa na Kipa Tim Howard na kugonga mwamba na Mpira kumbabatiza Kipa huyo na kutinga nyavuni.
Romelu Lukaku akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza na la pekee kwa timu yake kwa kumfunga kipa wa City Joe Hart.
Ushindi huu kwa Man City ni habari nzuri kwa mashabiki wa City iliyochapwa katikati ya wiki na bingwa mtetezi wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya Bayern Munich ya Ujerumani.
Everton iliongoza kwa bao la Romelu Lukaku lililopenyezwa kwapani mwa golikipa Joe Hart anayepitia kipindi kigumu.
Bao hilo lilifutwa na la Alvaro Negredo baada ya kupokea pasi kutoka kwa kiungo Yaya Toure.
Baada ya mda mkwaju wa chini chini wa mshambuliaji Sergio Aguero ukaipa City uongozi wa magoli 2-1 kabla ya mkwaju wake wa peneti uliogonga kichwa cha golikipa Tim Howard na kuishia kimyani.
Kapteini wa Manchester City Vincent Kompany aliumia na kulazimika kutolewa nje baada ya dakika 33 aliondolewa kwa kile kilichoonekana kama kuuguza misuli ya mguu.VIKOSI:
MANCHESTER CITY: (4-2-3-1) Hart 6; Zabaleta 7, Kompany 6 (Nastasic 35mins 7), Lescott 6, Kolarov 6 (Clichy 58mins 6); Toure 7, Fernandhino 6; Milner 6, Negredo 7, Silva 8; Aguero 7 (Nasri 78mins 6)
Subs not used: Richards, Dzeko, Navas,Pantilimon
Booked: Kompany, Milner, Silva, Zabaleta, Fernandinho
Scorer: Negredo, Aguero, Howard (og)
EVERTON: (4-4-1-1)
Howard 6; Coleman 6, Jagielka 6, Distin 6, Baines 6; Mirallas 6
(Deulofeu 62mins 6), McCarthy 7, Naismith 7, Osman 7 (Gibson 62mins 6);
Barkley 6; Lukaku 7 (Kone 82mins)
Subs not used: Robles , Heitinga, Jelavic, Stones
Booked: Distin, Howard, Coleman
Scorer: Lukaku
Referee: Jonathan Moss
Att: 47,267
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 5 Oktoba
14:45 Manchester City 3 v Everton 1
17:00 Cardiff City 1 v 2 Newcastle United
17:00 Fulham 1 v 0 Stoke City
17:00 Hull City 0 v 0 Aston Villa
17:00 Liverpool 3 v 1 Crystal Palace
19:30 Sunderland 1 v 2 Manchester United
Everton ndio walitangulia kufunga kwa Bao la Mchezaji wa Mkopo kutoka Chelsea, Romelu Lukaku na kudumu Dakika moja tu kwa City kusawazisha kwa Bao la Dakika ya 17 kuvitia Alvaro Negredo na Sergio Aguero kuipa City Bao la Pili kabla Haftaimu.
Bao la tatu la City lilifungwa kufuatia Penati ya kilaini iliyotolewa baada Zabaleta kusukumwa huku Everton wakinyimwa Penati ya aina hiyo hiyo kufuatia kuangushwa Lukaku.
Aguero alipiga Penati hiyo iliyochezwa na Kipa Tim Howard na kugonga mwamba na Mpira kumbabatiza Kipa huyo na kutinga nyavuni.
Romelu Lukaku akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza na la pekee kwa timu yake kwa kumfunga kipa wa City Joe Hart.
Ushindi huu kwa Man City ni habari nzuri kwa mashabiki wa City iliyochapwa katikati ya wiki na bingwa mtetezi wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya Bayern Munich ya Ujerumani.
Everton iliongoza kwa bao la Romelu Lukaku lililopenyezwa kwapani mwa golikipa Joe Hart anayepitia kipindi kigumu.
Baada ya mda mkwaju wa chini chini wa mshambuliaji Sergio Aguero ukaipa City uongozi wa magoli 2-1 kabla ya mkwaju wake wa peneti uliogonga kichwa cha golikipa Tim Howard na kuishia kimyani.
Alvaro Negredo (kwenye patashika kuitafutia bao Manchester City)
Sergio Aguero akishangilia bao lake dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza dakika ya 45
Alvaro Negredo na Seamus Coleman (katikati) baada ya kutofautiana hapa..
MANCHESTER CITY: (4-2-3-1) Hart 6; Zabaleta 7, Kompany 6 (Nastasic 35mins 7), Lescott 6, Kolarov 6 (Clichy 58mins 6); Toure 7, Fernandhino 6; Milner 6, Negredo 7, Silva 8; Aguero 7 (Nasri 78mins 6)
Subs not used: Richards, Dzeko, Navas,Pantilimon
Booked: Kompany, Milner, Silva, Zabaleta, Fernandinho
Scorer: Negredo, Aguero, Howard (og)
Subs not used: Robles , Heitinga, Jelavic, Stones
Booked: Distin, Howard, Coleman
Scorer: Lukaku
Referee: Jonathan Moss
Att: 47,267
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 5 Oktoba
14:45 Manchester City 3 v Everton 1
17:00 Cardiff City 1 v 2 Newcastle United
17:00 Fulham 1 v 0 Stoke City
17:00 Hull City 0 v 0 Aston Villa
17:00 Liverpool 3 v 1 Crystal Palace
19:30 Sunderland 1 v 2 Manchester United
No comments:
Post a Comment