
Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira kwa Ashley Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea kucheza na Shakhtar Donetsk Ukraine

Rooney ambaye anachezea timu ya Taifa ya Uingereza anatarajiwa kucheza kesho Jumatano kwenye maudiano na timu ya Ukraine -Shakhtar Donetsk
Jumanne Oktoba 1 na Jumatano Oktoba 2 Mashindano ya
UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UCL, ambayo sasa yapo hatua za Makundi yakiwa na
Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ambako Timu 2 za juu husonga na kuingia
Raundi ya Mtoano ya Timu 32, yataingia Mechi zake za pili baada ya
kuanza hapo Septemba 17.

Robin van Persie chini akicheza na mchezaji mwenzake Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine

Rooney akiteta na kucheka na kocha Phil Neville

Van Persie akiongoza wenzake kwenye mazoezi yao wakijiandaa na Uefa Champions League

Marouane Fellaini akionesha manjonjo yake wakati akipasha kwenye mazoezi

Kipa David de Gea nae alikuwa miongoni mwao akipasha

Van Persie akijigamba na kuja kuziona nyavu za Donetsk kesho jumatano wakati wa marudiano

Kagawa na Chris Smalling wakipiga danadana kwenye mazoezi

Nani (katikati) ni mchezaji anayetarajiwa kupata namba kesho Ukraine
Kocha mkuu Moyes kuwaongoza United Ukraine kesho jumatano

Ferdinand akichota mpira kutoka kwa Rooney wakati wa mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine leo hii

Midfielders Michael Carrick na Tom Cleverley wakipasha
Ni Ashley Young na Moyes hapa..
Kazi ya Ziada inatakiwa hapa: Kocha Moyes kumtumia Danny Welbeck kwenye kukaba

Ryan Giggs ni mmoja wa viongozi wa kuwaongoza United pamoja na kocha mkuu Moyes
Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň
No comments:
Post a Comment