BUKOBA SPORTS

Sunday, October 13, 2013

MTANGAZIJI WA ITV UFO SARO AJERUHIWA KWA RISASI KIMARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ALFAJIRI, MAMA YAKE MZAZI AFARIKI DUNIA HAPO HAPO!

Mtangazaji wa ITV, Ufo Saro (pichani) amepigwa risasi na kijana Mushi anayeripotiwa kuwa ni mume au mchumba wa mtangazaji huyo kwa mujibu wa taarifa za awali mama mzazi wa Ufo Saro amepigwa risasi ya kifuani na kufa papo hapo leo alfajiri. 

Mushi amempiga risasi ya tumbo na mguuni Ufuo ambaye mpaka sasa anaendelea na matibabu Hospitali ya Tumbi Kibaha na tukio hili limetokea Kimara. Baada ya tukio hilo, Mushi alijipiga risasi kufa papo hapo. SOURCE RADIO ONE

Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Ufo amekimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment