
Ommy Dimpoz akiwa ndani ya ndege ya Emirates Business Class kurejea nchini akitoka Marekani.
Mwanamuziki wa Bongo Flava aliyemaliza Tour yake ya kwanza nchini Marekani Faraji Omar Nyembo 'Ommy Dimpoz' ameondoka leo kuelekea Tanzania ambapo ana shoo kali kesho katika Ukumbi wa Kisasa Awa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.…

No comments:
Post a Comment