BUKOBA SPORTS

Monday, October 14, 2013

TUNAKUKUMBUKA DAIMA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE


Taifa laadhimisha miaka 14 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kutokana na hekima na busara zako CCM na Serikali yake bado ipo imara ,CCM Inaamini katika misingi ya Umoja,Amani na Mshikamano.

No comments:

Post a Comment