YANGA PEMBA ......SIMBA UNGUJA!!! PRESHA YAPANDA PANDE ZOTE MBILI MECHI IJAYO!!
Kocha wa Yanga Baadhi ya wachezaji wa Yanga Licha ya mchecheto wa mashabiki, upepo umebadilika kwa viongozi, wachezaji mpaka makocha wa Simba na Yanga ambao wakiipigia hesabu za kiufundi mechi itakayowakutanisha Jumapili, wanasema ni denja sana. Simba, ambayo inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inapata kiburi kutokana na ufanisi wa wachezaji wake wa kigeni pamoja na wazalendo wenye uzoefu. Wachezaji hao wamekuwa wakichachafya katika kila mechi ingawa benchi la ufundi limedai inapofika mechi ya watani wa jadi, mambo huwa ni habari nyingine. Yanga, ambayo haijafumua kwa kiasi kikubwa kikosi kilichotwaa ubingwa msimu uliopita..
No comments:
Post a Comment