Kikosi cha Yanga
Kikosi cha mtibwa

Wachezaji
wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya mshambuliaji wa
Yanga, Mrisho Ngasa kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara shidi ya Mtibwa sugar uliofanyika
leokwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Hadi mwisho wa mchezo ubao ulisomeka hivi.
Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Mtibwa Sunga. Paul George.
Mashabiki wa Yanga.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Paul George.
No comments:
Post a Comment