Bw. Salumu Ally Meneja mahusiano ya nje vodacom akifungua bonanza la waandishi wa habari mkoa wa kagera katika viwanja vya gymkana bukoba mjini,bonanza hilo limejumuisha waandisi wa habari wa magazeti,redio,television,na wapiga picha. bw salumu alieleza huduma mbalimbali zinazotolewa a vodacom na kueleza kuwa wanatambua mchango mkubwa unaotolewa na vyombo vya habari nakatika mafanikio waliyoyapata ya kuwa na wateja wengi kuliko mtandao wowote na kutengeneza faida kuliko mtandao wowote.pia alieleza mchango wa vodacom katika jamii ni pamoja na vodacom kuamua kupambana na taizo la ugonjwa wa vistura unaowasumbua akina mama kwa kugharamikia matibabu yao,katika elimu wamekuwa akijenga vyumba vya madarasa nk, pia akaeleza namna walivyoamua kudhamini bonanza na kutoa zawadi na kupata chakula na vinywaji kwa pamoja,zaidi ya shilingi milioni tano zimetumika katika bonanza la waandishi wa habari mkoa wa Kagera.

Hiki ni kikosi cha timu ya electronic(television,redio na picha)katika picha ya pamoja kilicho toa fundisho na onyo kali la kufunga goli 2-1 timu ya printing

hiki ni kikosi cha printing kilichosalimu amri kwakufungwa na electronic 2-1

Kabla ya mpambano keptan wa timu ya electronic kulia jamal kalumuna jamco akisalimiana na kaptan wa printing kibuka

Printing wakishangilia bao lao

Kaptan wa Electronic Jamco akishangilia bao alilofunga kitaalamu na kumuacha golikipa wa Printing Bw. Karunde akishangaa kilichotokea

Matukio yakichukuliwa

Tayari kunasa Matukio hapa!!

Kipindi cha mapumziko

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa kagera ndugu rwekamwa akitoa neno la shukrani kwa wadhamini

Meneja wa vodacom kanda ya ziwa ni koka akieleza huduma mbalibali, ufanisi wa kazi na wajibu wafanyakazi wa vodcom na kumjali mteja.

Ukafika wakati wa kufukuza kuku

Ilikuwa bonge la burudani

Kuku akikata mbuga

Hatimae mwandishi wa kasbante redio akaibuka kidedea

Wababa nao wakamfukuza kuku

Pamoja na unene asikwambie mtu speed ya hatari

Joas kaijage akaibuka kidedea

Ilikuwa poa asikwambie mtu

Vipaji,vya watoto wimbo wa diamond palikwa apatoshi

Kijana bahati akaibuka mshindi

Kijana akapewa zawadi kutoka vodacom

Wazee katika kusakata twist

Ponsian kaiza wa star tv akaibuka kidedea zawadi 20'000

Wakaingia waandishi wa kike katika taarabu

Hapa picha inakua hivi live inakuaje

Wakaingia waandishi wa kiume bolingo si mchezo

Kijana wa kwanza kulia tofau saidi akaibuka kidedea 20,000

Mabalozi wa vodacom nao wakatoa burudani

Ikavutwa kamba timu ya electronic ikashinda zawadi laki moja

Shangwe

Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa kagera akitoa neno la shukrani kwa vodacom

Zawadi tofau wa kasibante redio alijinyakulia kitita cha 80,000 kwa kukimbia,na muziki

Jane Rwomile zawadi ya kucheza taarabu 20,000

Jamco l50'000 kwa ajili ya washindi timu ya electronic

Kibuka 75.000 kwa ajili ya timu ya printing washindi wa pili

Picha ya pamoja waandishi wa habari magazeti,redio, television,bloggers wakiwa na viongozi wa vodacom

Ni kupongezana viwanja vya bukoba club baada ya bonanza
No comments:
Post a Comment