Olivier Giroud ameifungia Arsenal Bao 2, moja kila Kipindi, na Arsenal kujikita Pointi 4 mbele juu kileleni mwa Ligi Kuu England.
Arsenal walipata Bao la kwanza kutokana na zawadi murua toka Kipa wa Southampton, Artur Boruc, alipojidai ufundi baada kurudishiwa pasi na Giroud kumzidi maarifa na kumfunga.
Baada ya zawadi hiyo, Arsenal walikosa Mabao baada Jack Wilshere na Aaron Ramsey kupiga posti na Nyota wa Southampton Adam Lallana na Jay Rodriguez kukosa kufunga Bao za wazi.
Giroud alifunga Bao la pili kwa Penati kufuatia Jose Fonte kumvuta Jezi Per Mertesacker.
Mchezaji hatari wa Arsenal Olivier Giroud akishangilia bao lake baada ya kuifunga bao Southampton
Kipa Artur Boruc akikabwa na Olivier Giroud na kuzidiwa ujanaja na Giroud na kufungwa!!
Boruc akikabwa na Giroud
Giroud akimzidi nguvu kipa na kumtoka na kumfunga bao na kuipatia bao kama la zawadi Gunners!
Kipa Boruc akimwangalia Giround kama utani akitupia bao!!
Kocha Arsene Wenger akifurahia bao hilo na kuiwezesha kupanda zaidi kileleni leo hii Jumamosi.

VIKOSI:
Arsenal: Szczesny 7; Sagna 7,
Koscielny 7, Mertesacker 7, Gibbs 7; Arteta 6 (Rosicky 74), Ramsey 7,
Wilshere 7; Ozil 6 (Monreal 81), Cazorla 6 (Walcott 70); Giroud 8
Subs not used: Vermaelen, Fabianski, Bendtner, Gnabry.
Goals: Giroud 22, 86 (pen)
Southampton: Boruc 4;
Clyne 6, Fonte 6, Hooiveld 6, Shaw 6 (Davis 46, 6); Schneiderlin 7,
Wanyama 6, Lallana 6 (Osvaldo 54, 5); Rodriguez 7, Ward-Prowse 6;
Lambert 6
Subs not used: Yoshida, Chambers, Gazzaniga, Reed, Gallagher
Booked: Hooiveld, Wanyama, Fonte
Subs not used: Vermaelen, Fabianski, Bendtner, Gnabry.
Goals: Giroud 22, 86 (pen)
Subs not used: Yoshida, Chambers, Gazzaniga, Reed, Gallagher
Booked: Hooiveld, Wanyama, Fonte
Referee: Mark Clattenburg
No comments:
Post a Comment