BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 27, 2013

LEO NI LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE NI BAYER LEVERKUSEN v MANCHESTER UNITED. KOCHA MOYES KULILIA USHINDI LEO!


LEO USIKU huko Germany ipo Mechi ya Marudiano ya Kundi A la UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI, kati ya Bayer Leverkusen na Manchester United.
Katika Mechi ya kwanza iliyochezwa Old Trafford Mwezi Septemba, Man United iliifunga Bayer Leverkusen Bao 4-2.

Katika Mechi ya leo, Man United wanahitaji ushindi ili wafuzu kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UCL lakini pia hata Sare itawafanikisha.kusho Evra katikati ni Wayne RooneyKatika Mechi ya leo, Man United wanahitaji ushindi ili wafuzu kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UCL lakini pia hata Sare itawafanikisha. Wayne Rooney alipata kucheka na kufuahi jambo na wenzake wakati wa mazoezi yao jana kabla ya kuelekea Ujerumani kukipiga na Bayer LeverkusenMazoezi yakiendelea janaAdnan Januzaj na Marouane Fellani Rooney akifurahi jambo hapa na wenzake.

Mchezaji wa Manchester Ryan Giggs kwenye mazoezi jana Ryan Giggs nae furaha zimemtanda jana kwenye mazoezi tayari kujipanga kuumana na Bayer Leverkusen huko ujerumani leo.



No comments:

Post a Comment