BUKOBA SPORTS

Sunday, November 24, 2013

P-SQUARE WAVUNJA REKODI JIJINI DAR ES SALAAM, WAFANYA SHOW MOJA YA MAANA!! WAKAZI WA JIJI WAJITOKEZA KWA WINGI ZAIDI.

Paul Okoye akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu
Wasanii wa kundi la P- Square (Peter na Paul Okoye) jukwaani wakiwaburudisha wakazi wa jiji la Dar es salaam usiku huu wa tarehe 23.11.2013 jijini Dar ukumbi wa Leaders Club Kinondoni
Nyomi ya watu

Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akitoa burudani ya aina yake kwa maelfu ya Mashabiki waliojitokeza katika viwanja vya leaders club, Tamasha hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania burudani hiyo ya karne ilitolewa kwa mashabiki wa muziki pale leaders club.

Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akionesha uwezo wa kulimudu gitaa tofauti na kuimba tu, wakati wa tamasha la burudani lililofanyika katika viwanja vya leaders club, Wasanii hao mapacha walikonga nyoyo za maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha hilo lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Ilikuwa ni patashika

Peter na Paul Okoye jukwaani










Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kupitia televisheni ya Chanel 5 Dulla (Abdallah Ambua) mapema ndie aliefungua Show hiyo kwa kuwaita washindi kundi la asilimia 100%
T-bway
Dulla (Abdallah Ambua) akiimba juwaaani
Kundi la Asilimia 100%
Wakazi wengi wa jiji walijitokeza kuja kuona show hiyo ya wasanii kutoka Nigeria wa kundi la P Square Peter na Paul Okoye.

Kundi la asilimia 100 likiendelea kufanya vitu!
Kundi la asilimia 100 likifanya mambo jukwani kwenye ukumbi wa Leaders Kinondoni Jijini Dar es salaam usiku huu.


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Benard Paul 'Ben Pol' akiimba baadhi ya nyimbo zake jukwaani usiku huu
Kila mtu alikuwa na tabasamu lake hapa! kwenye Uwanja huu wa Leaders Kinondoni jijini
MSANII wa muziki wa kizazi kipya , Benard Paul 'Ben Pol' akiendelea kutumbuiza

Benard Paul 'Ben Pol' akiteka nyoyo za mashabiki wake hapa baada ya kuachia wimbo wa pili mfululizo!

Taswira!


Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Benard Paul 'Ben Pol' akiimba wimbo wa mapenzi na msanii mwenzake Alice





Mkongwe katika game la bongo flava Prof Jay alivua kofia
Joh Makin kutoka kundi la weusi akiachia nae wimbo wake
 Flava Prof Jay Msanii mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee akiimba jukwaani kuwatumbuiza mashabiki wake, Hawa wasanii wanne tu toka Tanzania Lady Jay D, Ben Pol, Profesa J na Joh Makini ndio walipanda jukwaa moja na P-SQUARE ili kukupa muda mrefu wa burudani yenye viwango kama vya P-SQUAREWasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee (kushoto) akiimba sambamba na Professa Jay katika tamasha la burudani lililofanyika katika viwanja vya Leadars Club Kinondoni
Lady Jay dee na Vijana wake wakisakata muziki jukwaani usiku huu mapema kabla kundi la P-Square alijaanza Show yake!

No comments:

Post a Comment