BUKOBA SPORTS

Thursday, November 21, 2013

SAMSUNG YAKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA PROMOSHENI YA KWANZA YA "PAMBIKA NA SAMSUNG".


Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kushoto) akimkabidhi Fridge ya Samsung mshindi, Betrice Mushi wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi TV Nchi 32 ya Samsung mshindi, Doroth Madeleka wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Laptop ya Samsung mshindi, Chrismas Gowele wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Galaxy Tab ya Samsung mshindi, Abbas Moledina wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Microwave ya Samsung mshindi, Ally Abdalah wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Home Theatre ya Samsung mshindi, Hamis Kondo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Saalaam .

Picha ya pamoja ya washindi pamoja na Uongozi wa Samsung

No comments:

Post a Comment