BUKOBA SPORTS

Saturday, December 14, 2013

CHELSEA 2 v CRYSTAL PALACE 1, TORRES NA RAMIRES WAIPA USHINDI BLUES...SASA MAMBO SHWARI!!! MOURINHO AIPANIA ARSENAL KILELENI WIKI IJAYO!!

Fernando Torres akishangilia bao lake
Not impressed: Chelsea manager Jose Mourinho watches on as Chelsea struggled in the early stages
Golkipa wa Chelsea, Petr Cech, aliokoa mabao kadhaa katika kipindi cha pili cha mechi kati ya Chelsea na Crystal Palace na kusalia na pointi mbili tu kufikia Arsenal wanaoongoza orodha kwa pointi.
Getting his point across: Tony Pulis gives orders to his side
Kocha wa Crystal Palace Tony Pulis akitoa maelekezo kwa vijana wake
Mchezaji wa Crystal Palace Marouane Chamakh akishangilia nae bao lake baada ya kusawazisha bao hilo dakika ya 29 kipindi cha kwanza kwa kufanya 1-1 didi ya wenyeji Chelsea Daraji.Ramires akifunga bao la pili na la mwisho kipindi hicho hicho cha kwanza katika dakika ya 35
To the rescue: Ramires scores Chelsea's second goal to send the Blue on the way to three pointsRamires akishangilia kwa aina yake baada ya kuichinja Crystal Palace.
Fernando Torres aliiweka Blues mbele katika uwanja wa Stamford Bridge baada ya shuti la Willian kugonga lango la bao na kuwakosesha bao lengine.
Crystal Palace hata hivyo walisawazisha kupitia kwa mchezaji, Marouane Chamakh kabla ya Ramires kuiweka Chelsea kifua mbele kwa mabao mawili kwa moja.
Mlinda lango, Cech aliwakosesha mabao Jason Puncheon, Damien Delaney na hatimaye Stuart O'Keefe huku wenyeji wakishinda kwa leo.
Wenyeji walifanikiwa kushinda kutokana na mabao yao ya dakika za mwisho 2-1.
Meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho alisema kuwa Chelsea walikuwa matatani hasa baada ya kushindwa na Stoke wikendi iliyopita. Lakini sasa mambo shwari.
Sealed with a kiss: Ramires celebrates scoring with Ivanovic
Ramires akipongezwa na Ivanovic
VIKOSI:
Chelsea: Cech 5; Ivanovic 6, Luiz 6, Terry 6, Azpilicuta 7; Essien 6, Ramires 7; Willian 7 (Schurrle 82), Mata 5 (Oscar 62, 5), Hazard 6; Torres 5 (Ba 84).
Subs not used: Schwarzer, Cole, Eto'o, Lampard.
Booked: Essien, Ivanovic.
Goals: Torres 16, Ramires 35
Crystal Palace: Speroni 8; Mariappa 6, Gabbidon 7, Delaney 6, Ward 7; Bannan 5 (Bolasie 51, 5), Jedinak 7, Dikgacoi 5 (O'Keefe 26, 7), Puncheon 6; Chamakh 7 (Gayle 88), Jerome 7.
Subs not used: Price, Parr, Williams, Kebe.
Booked: Chamakh
Goal: Chamakh 29
Attendance: 41,608
Referee: Mark Clattenburg
Man of the match: Julian Speroni


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU TANO ZA JUU BAADA YA MECHI HII KUISHA.
2013-2014 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 16 11 2 3 33 17
6 1 1 16 6
5 1 2 17 11
16 35
2 Chelsea 16 10 3 3 32 18
7 1 0 19 7
3 2 3 13 11
14 33
3 Manchester City 16 10 2 4 47 18
8 0 0 35 5
2 2 4 12 13
29 32
4 Everton 16 8 7 1 27 15
5 3 0 17 7
3 4 1 10 8
12 31
5 Liverpool 15 9 3 3 34 18
7 0 1 22 5
2 3 2 12 13
16 30

No comments:

Post a Comment