Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya.
Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile baada ya kubaki wawili katika fainali za EBSS 2013.
TATU BORA YA EBSS 2013
Washiriki walioingia Tatu Bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John.
Emmanuel Msuya akilia machozi ya furaha baada ya kuingia Tatu Bora.
Washiriki Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John wamefanikiwa kuingia Tatu Bora katika fainali za EBSS 2013 ndani ya Escape 1, Mikocheni jijini Dar muda huu. Kwa hisani ya mtandao wa http://www.globalpublishers.info/

No comments:
Post a Comment