Manchester United imebanwa tena na Tottenham Hotspurs huko kwao White Hart Lane leo kwa kutoka sare ya bao 2-2, Spurs ndio walianza kuliona lango la United dakika 18 kwa Frii kiki ya Walkerambao aliachia shuti kali ambalo limepita kwenye ukuta wa Manchester United na kuishilia nyavuni. Kipindi cha pili dakika ya 32 Rooney akaisawazishia bao timu yake United kwa kufanya 1-1 dhidi ya wenyeji Spurs.
Mchezaji Sadro dakika ya 54 kipindi cha pili akaipatia bao la pili na kufanya 2-1 baada ya kupata basi safi na kupiga mpira kwenye kona kwa shuti kali ambalo kipa wa United David De Gea Hakuona ndani yake. Dakika tatu baadae dakika ya 57 Wayne Rooney akaisawazishia bao tena Manchester United na kufanya 2-2 kwa mkwaju wa penati na mpira kumalizika timu zote zikiwa sare ya bao 2-2. Kyle Walker (kushoto) akishangilia ao lake baada ya kuizamisha United bao la kwanza
Wayne Rooney akisawazisha bao hapa katika dakika ya 32 kipindi cha kwanza.Roberto Soldado akiuzunika baada ya kukosa bao la waziKyle Walker alipoachia frii kiki.Sandro akiachia shuti kali lililozama langoni mwa United.Akishangilia baada ya kupata baoFuraha ya kupata bao na hapa wanashangilia kwa kupongezana.Hakunaga....raha ya kufunga baoWachezaji wa United wakijiuliza hapa!!Katika kusaka pointi hapa ...Makocha wakiwajibika uwanjani kwenye sehemu zao!!Welbeck ....majanga kwenye eneo la penati!! akitupwa chini!Wayne Rooney akichonga penati ....Wayne Rooney akishangilia hapa baada ya kufunga bao hilo la mkwaju wa penati
Mchezaji Sadro dakika ya 54 kipindi cha pili akaipatia bao la pili na kufanya 2-1 baada ya kupata basi safi na kupiga mpira kwenye kona kwa shuti kali ambalo kipa wa United David De Gea Hakuona ndani yake. Dakika tatu baadae dakika ya 57 Wayne Rooney akaisawazishia bao tena Manchester United na kufanya 2-2 kwa mkwaju wa penati na mpira kumalizika timu zote zikiwa sare ya bao 2-2. Kyle Walker (kushoto) akishangilia ao lake baada ya kuizamisha United bao la kwanza
England kocha Roy Hodgson nae alikuwepo uwanjani White Hart Lane.
VIKOSI:
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6, Walker 6, Dawson 6, Chiriches 6, Vertonghen 6, Sandro 7, Paulinho 7, Lennon 7 (Townsend 65, 6), Dembele 6, Chadli 5 (Sigurdsson 84), Soldado 5 (Defoe 71, 4).
Subs not used: Kaboul, Holtby, Capoue, Friedel.
Goals: Walker 18, Sandro 54
Booked: Lloris
Manager: Andre Villas-Boas 6
Man United (4-2-3-1): De Gea 6, Smalling 6, Vidic 6, Evans 7, Evra 6, Cleverley 5, Jones 6, Valencia 6 (Nani 83), Kagawa 6 (Young 83), Welbeck 5 (Hernandez 72, 4), Rooney 8.
Subs not used: Rafael Da Silva, Anderson, Lindegaard, Fellaini.
Booked: Evra, Jones, Vidic
Goal: Rooney 32, 57 (pen)
Manager: David Moyes 6
MOM: Wayne Rooney
Referee: Mike Dean (Wirral) 6
Att: 35,884.
VIKOSI:
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6, Walker 6, Dawson 6, Chiriches 6, Vertonghen 6, Sandro 7, Paulinho 7, Lennon 7 (Townsend 65, 6), Dembele 6, Chadli 5 (Sigurdsson 84), Soldado 5 (Defoe 71, 4).
Subs not used: Kaboul, Holtby, Capoue, Friedel.
Goals: Walker 18, Sandro 54
Booked: Lloris
Manager: Andre Villas-Boas 6
Subs not used: Rafael Da Silva, Anderson, Lindegaard, Fellaini.
Booked: Evra, Jones, Vidic
Goal: Rooney 32, 57 (pen)
Manager: David Moyes 6
MOM: Wayne Rooney
Referee: Mike Dean (Wirral) 6
Att: 35,884.
No comments:
Post a Comment