Mgeni Rasmi Barozi Khamis Kagasheki akiwakilishwa na Mwakilishi wake ambaye ni mjumbe wa NEC Mkoa Kagera Bw. Abdu Kagasheki (kulia) akikata utepe tayari kwa kufungua Hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa pikipiki katika uwanja wa Uhuru Platform leo Jumapili asubuhi.
Tayari Utepe umekatwa ..tayari kwa ufunguzi huo.
Mgeni rasmi Bw. Abdu Kagasheki akitoa neno baada ya kukata utepe!!Ngoma ya Kihaya ikiendelea kukolea kwenye uwanja wa uhuru platform mjini Bukoba leo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa pikipiki.
No comments:
Post a Comment