Gareth Bale alipiga Hetitriki wakati Real Madrid ikiifunga Real Valladolid Bao 4-0 huku Staa wao Cristiano Ronaldo akiwa Mtazamaji Jukwaani na Atletico Madrid kuifunga Elche 2-0 na kuikamata Barcelona kileleni kwa Pointi.
Bale alifunga Bao la Kwanza mapema kwenye Mechi hiyo na Real Valladolid kisha kumtengenezea Karim Benzema kufunga Bao la Pili.
Kipindi cha Pili, Bale alipiga Bao 2 na kuifikisha Hetritriki yake, na Real kushinda Bao 4-0 huku Ronaldo akiwa Jukwaani kwa vile ni Majeruhi.
Nao Wapinzani wa Jadi wa Real Jijini Madrid, Atletico Madrid, waliikamata Barcelona kileleni kwa kufikisha Pointi 40 baada ya kuichapa Elche 2-0.
Bao za Atletico zilifungwa na Koke na Diego Costa ambae sasa amefikisha Bao 15 kwenye La Liga Msimu huu.
Leo Usiku, Mabingwa Barcelona wako Ugenini kucheza Mechi yao ya La Liga na Athletic de Bilbao.
Bale ameisaidia timu yake Real Madrid kupunguza gepu lililokuwepo kwenye ligi kuu La Liga kwa kupata pointi tatu muhimu sana na huku akiwatandika hat-trick Real Valladolid Bao 4-0 huku Staa wao Cristiano Ronaldo akiwa Mtazamaji Jukwaani.
Karim Benzema kwenye patashika na mchezaji wa Valladolid defender Jesus Rueda
Benzema akikumbatiana na Gareth Bale baada ya ushirikiano wao mzuri
Cristiano Ronaldo na girlfriend wake model Irina Shayk jukwaani, huko Bernabeu
Angel Di Maria kwenye patashika muda mfupi kabla ya mapumziko.
Benzema akishangilia bao lake la 10 kwa Madrid msimu huu.
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Novemba 30
Elche 0 Atletico Madrid 2
Celta de Vigo 3 UD Almeria 1
Real Madrid 4 Real Valladolid 0
RCD Espanyol 1 Real Sociedad 2
Jumapili Desemba 1
11:00 Real Betis v Rayo Vallecano
16:00 Granada v Sevilla FC
18:00 Valencia v Osasuna
20:00 Athletic de Bilbao v FC Barcelona

VIKOSI:
Real Madrid: Lopez, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Alonso, Modric, Di Maria, Isco, Bale, Benzema.
Goals: Bale 33, 64, 89. Benzema 36
Real Valladolid: Marino, Alcatraz, Rueda, Valiente, Pena, Rubio, Sastre, Rossi, Larsson, Guerra y Bergdich.
MSIMAMO TIMU TATU ZA JUU:

NA | TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
1 | FC Barcelona | 14 | 13 | 1 | 0 | 42 | 8 | 34 | 40 |
2 | Atletico Madrid | 15 | 13 | 1 | 1 | 40 | 9 | 31 | 40 |
3 | Real Madrid | 15 | 12 | 1 | 2 | 44 | 17 | 27 | 37 |
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Novemba 30
Elche 0 Atletico Madrid 2
Celta de Vigo 3 UD Almeria 1
Real Madrid 4 Real Valladolid 0
RCD Espanyol 1 Real Sociedad 2
Jumapili Desemba 1
11:00 Real Betis v Rayo Vallecano
16:00 Granada v Sevilla FC
18:00 Valencia v Osasuna
20:00 Athletic de Bilbao v FC Barcelona
No comments:
Post a Comment