Marco Mathysakichuana na mchezaji wa Swansea Jonathan De Guzman jana
Roland Lamahakichuana na mchezaji wa St Gallen Sebastien Wuethrich
Jinsi ilivyokuwa, ilikuwa ni kuutafuta hata kwa tochi mpira
Routledge akiumiliki mpira
Kutoka England, Tottenham, ambao walikuwa tayari wameshafuzu pamoja na Anzhi Makhachkala waliinyuka Timu hiyo ya Urusi Bao 4-1 na Roberto Soldado kupiga Hetitriki lakini Wigan walifungwa Bao 2-1 na NK Maribor na kutupwa nje huku Swansea wakifungwa 1-0 na St Gallen huko Uswisi lakini wamemudu kufuzu.
Zeljko Filipovic wa NK Maribor akishangilia bao lake
Group D: Maribor wameifunga Wigan na kuungana na Rubin Kazankwenye hatua inayofuata..
TIMU ZILIZOFUZU KUINGIA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 32:
KUNDI A
-Valencia
-Swansea
KUNDI B
-Ludogorets
-Chernomorets Odessa
KUNDI C
-Red Bull Salzburg
-Esbjerg
KUNDI D
- FC Rubin Kazan
-NK Maribor
KUNDI E
-Fiorentina
-Dnipro Dnipropetrovsk
KUNDI F
- Eintracht Frankfurt
-Maccabi Tel-Aviv
KUNDI G
-Genk
-Dinamo Kiev
KUNDI H
-Sevilla
-Slovan Liberec
KUNDI I
-Olympique Lyonnais
-Real Betis
KUNDI J
-Trabzonspor
-Lazio
KUNDI K
-Tottenham
-Anzhi Makhachkala
KUNDI L
-PAOK
-AZ Alkmar
ZITAJUMUIKA NA TIMU 8 TOKA UEFA CHAMPIONS LIGI:
(ZILIZOMALIZA NAFASI ZA 3)
-FC Shakhtar Donetsk
-Juventus
-Benfica
-FC Viktoria Plzen
-Napoli
-Schalke
-FC Porto
-Ajax
No comments:
Post a Comment