LIVERPOOL 4 vs WEST HAM 1
Hii ni Mechi ambayo Bao 3 zilikuwa za kujifunga wenyewe wakati Liverpool wanaichapa West Ham Bao 4-1 Uwanjani Anfield.
Liverpool walitangulia kupata Bao katika
Dakika ya 42 kwa Guy Demel kujifunga mwenyewe na Mamadou Sakho kuipa
Bao la pili kisha Martin Skrtel akajifunga mwenyewe na kuipa West Ham
Bao 1.
Likafuata Bao la Luis Suarez na jingine
la Joey O'Brien kujifunga mwenyewe na kuipa Liverpool ushindi wa Bao 4-1
ambao umewafanya wakamate Nafasi ya Tatu kwenye Ligi.
Zawadi ya bao!!Wachezaji wa Liverpool wakipongezanaMkali wa kuziona nyavu Suarez leo kafunga tena bao moja Suarez akishangilia bao lake
Timu zote mbili Liverpool na West Ham wakiomba hapa kwa kifo cha Nelson Mandela kilichotokea hivi karibuni kabla ya mtanange kuanza.
Shabii wa Liverpool akiutazama mpira kwa aina yake uwanjani
No comments:
Post a Comment