Oussama Assaidi wa Stoke City akishangilia kwa aina yake baada ya kuitungua Chelsea dakka za lala salama na kumziba mdomo.
Kipigo hiki ni cha kwanza kwa Chelsea toka kwa Stoke City kwa Miaka 38 na Bao lililoiua Chelsea lilifungwa na Mchezaji alietoka Benchi Oussama Assaidi ambae alifunga katika Dakika ya 90.
Bao za Stoke zilifungwa na Peter Crouch, Dakika ya 42, Stephen Ireland, 50 na Assaidi, 90 na Chelsea kupata Bao zao mbili zote kupitia Schürrle Dakika ya 9 na 53.
Jose Mourinho akiuzunika baada ya kipigo cha bao la lala salama kwenye uwanja wa Britannia Stadium
Peter Crouch akisawazisha kwa kufanya 1-1 dhidi ya Chelsea iliyokuwa ugenini
Stephen Ireland akifankisha bao la pili na kufanya Stoke City iwe na bao 2-1.
VIKOSI:
Stoke (4-5-1): Begovic 7;
Cameron 7, Shawcross 8, Wilson 6, Muniesa 6; Arnautovic 6, Nzonzi 6,
Whelan 6 (Palacios 86), Adam 6 (Ireland 18, 7), Walters 6 (Assaidi 84);
Crouch 7.Subs not used: Pennant, Jones, Wilkinson, Sørensen.
Booked: Crouch, Walters, Assaidi, Ireland
Goals: Crouch 42, Ireland 50, Assaidi 90.
Manager: Mark Hughes 7
Chelsea (4-5-1): Cech 5; Ivanovic 6, Cahill 6, Terry 7, Azpilicueta 6; Hazard 7, Ramires 6, Mikel 6 (Lampard 70, 6), Mata 6, Schurrle 7 (Eto’o 70, 5); Torres 6.
Subs not used: Cole, Essien, De Bruyne, Schwarzer.
Booked: Terry
Goals: Schurrle 9, 53.
Manager: Jose Mourinho 6
Ref: Jonathan Moss
Att: 25,154
Man of the match: Ryan Shawcross
No comments:
Post a Comment