Ibrahim M. Kassim (kushoto) Afisa Mtendaji kata ya Bilele katikati ni Robert Kwela Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Bukoba ambaye alikuwa ni Mgeni rasmi kulia ni Abdon Kahwa Kaimu mkuu wa Wilaya wakiwa kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika leo mjini Bukoba.
Kushoto ni Bw. Abdon Kahwa Kaimu mkuu wa Wilaya, kulia ni Bi. Diana Jasson mratibu wa Ukimwi manispaa ya Bukoba kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika leo mjini Bukoba.Bw.Valelian wa Radio Vision (kulia) akiwa na vijana kazi kutoka PSI kushoto kwenye maadhimisho hayo yaliyofanyika leo hii Jumapili Disemba 1,2013 mbele ya soko kuu Bukoba Mjini.
Kundi la Kakau kutoka hapa mkoani Kagera likiwajibika ipasavyo katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani
Kikundi cha Kakau Band kikiburudisha.
Hakika ilikuwa Burudani mwanzo mwisho.
Baadhi ya Wakazi wa mjini Bukoba waliohudhuria maadhimisho hayo wakiwemo wazazi, vijana pamoja na watoto
Kikundi mahiri cha Kakau Bendi kikicheza mbele ya umati wa watu wengi waliojitokeza kwenye maadhimisho hayo ya Siku ya Ukimwi Duniani.
Wazazi wakifatilia maadhimisho hayo mjini Bukoba yaliyofanyika leo tarehe 01.12.2013 mbele ya soko kuu
Burudani mwanzo mwisho kutoka kwa Kakau Band ya mjini hapa Bukoba ikilisanua
Kikundi cha kakau kikiendelea kuwasha moto...
Bw. Abdon Kahwa Kaimu mkuu wa Wilaya akimtuza Mwanakakau wakati wanaburudisha kwa ngoma
Hapa lazima ukae!!
Kichina china hapa!!!!!
Maigizo nayo yalikuwepo!
Chezea Kakau wewe!!
Viongozi waliburudika kisawasawa leo kupitia ngoma iliyokuwa ikichezwa na kikundi cha Kakau cha mjini hapa Bukona
Viongozi wakiwakubali Kakau kwa burudani walioporomosha eneo hilo
Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duuniani hapa Bukoba yamefanyika leo Asubuhi Mbele ya Soko kuu kuanzia saa tatu asubuhi Pia kumetolewa misaada kwa Yatima mbalimbali.

No comments:
Post a Comment