MASHABIKI YANGA WASHINDA AIRPORT WAKIMSUBIRI OKWI BADALA YAKE WAJIKUTA WAKIMPOKEA BEKI WA SIMBA GILBERT KAZE
MASHABIKI kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa Simba Gibert Kaze.
Mashabiki hao walifika uwanjani hapo wakiwa na jezi iliyoandikwa jina la Okwi kwa ajili ya kumkabidhi lakini waliishia kuikunja na kurudi nayo baada ya mchezaji huyo kutokufika.
No comments:
Post a Comment