BUKOBA SPORTS

Sunday, December 15, 2013

MENEJA STEVE CLARKE ATIMULIWA WEST BROMWICH ALBION!

Steve Clarke amefukuzwa kazi kama Meneja wa West Bromwich Albion baada ya Jana kufungwa Bao 1-0 na Cardiff City na hicho kikiwa kipigo chao cha 4 mfululizo kwenye Ligi Kuu England ambacho kimewaacha wakiwa Pointi 2 tu juu ya Timu 3 za mwisho mkiani.
Clarke alichukua hatamu hapo West Brom Juni 2012 baada kutoka kwa Roy Hodgson alipoteuliwa kuwa Meneja wa England.
Kabla ya uteuzi huo, Clarke alifanya kazi kama Meneja Msaidizi kwenye Klabu za Chelsea, West Ham na Liverpool. 

Clarke anakuwa Meneja wa 4 Msimu huu kufukuzwa kazi toka Klabu ya Ligi Kuu England wengine wakiwa Paolo Di Canio aliefukuzwa Sunderland Mwezi Septemba, Ian Holloway alitimuliwa Crystal Palace Mwezi Oktoba na Martin Jol aliepoteza kazi Fulham Wiki 2 zilizopita.Vipigo vya mara 4 mfululizo shida...atimuliwa Klabuni kwake!!

KUHUSU STEVE CLARKE
Full name Stephen Clarke[1]
Date of birth 29 August 1963 (age 50)
Place of birth Saltcoats, Scotland
Height 6 ft 1 in (1.85 m)
Playing position Defender
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1982–1987 St. Mirren 200 (7)
1987–1998 Chelsea 330 (7)
Total
530 (14)
National team
1983–1985 Scotland U21[2] 8 (0)
1987–1994 Scotland 6 (0)
Teams managed
1999 Newcastle United (caretaker)
2004–2008 Chelsea (assistant manager)
2008–2011 West Ham United (assistant manager)
2011–2012 Liverpool (assistant manager)
2012–2013 West Bromwich Albion
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

No comments:

Post a Comment