BUKOBA SPORTS

Sunday, December 15, 2013

RATIBA LIGI KUU ENGLAND LEO JUMAPILI 15.12.2013, UNITED UGENINI VILLA PARK KUKWAANA NA ASTON VILLA, NORWICH v SWANSEA, TOTTENHAM v LIVERPOOL.

RATIBA
Jumapili Desemba 15

16:30 Aston Villa v Man United
16:30 Norwich v Swansea

19:00 Tottenham v Liverpool
Smiles better: Rooney appears to be much happier at United
Rooney kuendesha mashambulizi kipindi chote ambacho Van Persie atakuwa nje United, hapa wakiteta kwenye mazoezi kabla ya kuelekea ugenini Aston Villa.
Key man: Rooney will have to lead United attack after Robin van Persie was ruled out for next eight matches by thigh injury
Van Persie anategemea kukosa mechi kama 8 za mwezi huu mpaka januari baada ya kuumia nyama za paja.
Tough decision: United boss David Moyes is ready to wield the axe
Boss wa United David Moyes

No comments:

Post a Comment