BUKOBA SPORTS

Friday, December 13, 2013

RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII 2013-2014, JUMAMOSI HII MAPEMA NI PATASHIKA, MANCHESTER CITY v ARSENAL


RATIBA
Jumamosi Desemba 14
15:45 Man City v Arsenal
18:00 Cardiff v West Brom
18:00 Chelsea v Crystal Palace
18:00 Everton v Fulham
18:00 Newcastle v Southampton
18:00 West Ham v Sunderland
20:30 Hull V Stoke

Jumapili Desemba 15
16:30 Aston Villa v Man United
16:30 Norwich v Swansea
19:00 Tottenham v LiverpoolLimbering up: Manchester City's David Silva is ready for his Premier League return against Arsenal
Wachezaji wa Manchester City kwenye mazoezi hivi karibuni huku David Silva akiwa tayari kucheza Ligi kuu Premier League dhidi ya Arsenal kesho jumamosi mchana.

Man City wakifanya mazoeziOpener: Napoli's Gonzalo Higuain scores the first goal in the 2-0 Champions League win over Arsenal
Mchezaji wa Napoli Gonzalo Higuain alifunga bao la kwanza kati ya mabao 2-0 kwenye Champions League dhidi ya Arsenal
That's an order: Arsenal boss Arsene Wenger shouts instructions during the 2-0 defeat to Napoli
Kocha mkuu wa Arsenal Arsene Wenger akitoa maelekezo kwa timu yake walipochapwa bao 2-0 na Napoli
Oh no: Referee Viktor Kassai shows the red card to Arsenal captain Mikel Arteta
Mwamuzi Viktor Kassai akimwonesha kadi nyekundu mchezaji Kapteni Mikel Arteta, jambo ambalo litamweka nje wakati wa mtanange wao na Man City.

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA: 
Premier League
Pos.Logo &TeamPWDLGDPts
1ArsenalArsenal1511221935
2LiverpoolLiverpool159331630
3ChelseaChelsea159331330
4Manchester CityManchester City159242629
5EvertonEverton15771928
6Tottenham HotspurTottenham Hotspur15834-127
7Newcastle UnitedNewcastle United15825-126
8SouthamptonSouthampton15654523
9Manchester UnitedManchester United15645322
10Swansea CitySwansea City15546119
11Aston VillaAston Villa15546-219
12Hull CityHull City15537-618
13Stoke CityStoke City15456-517
14Norwich CityNorwich City15528-1417
15West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion15366-415
16Cardiff CityCardiff City15357-1114
17West Ham UnitedWest Ham United15348-613
18FulhamFulham154110-1213
19Crystal PalaceCrystal Palace154110-1213
20SunderlandSunderland152211-18  8

No comments:

Post a Comment