BUKOBA SPORTS

Wednesday, December 11, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER UNITED 1 v SHAKHTAR DONETSK 0, BAO LA PEKEE NA LA USHINDI LA PHIL JONES LAIPANDISHA KILELENI ZAIDI UNITED!

Phil Jones kulia akishangilia bao lake la dakika ya 67 baada ya kupata mpira uliopigwa wa kona na kuiwezesha timu ya Man United kubembea zaidi kwenye grupu "A" na kuondoa mkosi uliokuwepo wa kufungwa mfululizo kwenye uwanja wao wa Old Trafford na hatimae kumwondoa kocha wake kwenye majanga.Ushindi huu wa United unawapa jumla ya alama 14 wakiwa juu ya timu ya Leverkusen yenye alama 10 na timu zote mbili zikiwa zimefaulu kupita katika mchujo huo na kusonga mbele hatua ya  kuingia raundi ya mtoano ya Timu 16.Strike: Jones fires home in the 67th minute to put Manchester United one up at Old Trafford
Jones akifunga bao lake dakika ya 67 na kuipa ushindi Manchester Unitedkwenye uwanja wao wa Old Trafford
One up: Jones' goal was enough to seal top spot in Group A for Manchester United
Jones akishangilia baada ya kuipatia bao Manchester UnitedPhil Jone kulia akitupiaAdnan Januzaj akipambanaMchezaji wa United Giggs akimbana mchezaji wa Shakhtar DonerskWayne Rooney akiachia mkwaju mkali wa Frii kiki hapa..Adnan Januzaj akiwakabili wachezaji wa Shaktar Donersk
Kocha David Moyes akiwacheki vijana wake uwanjani Old TraffordShinji Kagawa akichuana vikali Yaroslav Rakitskiy chupuchupu aifunge United!!
Tom Cleverley akimkimbiza kumpa hongera Phil Jones baada ya kuwapachikia bao dakika ya 67  kipindi cha pili.Raha ya kushinda hii...Safi.....Ushindi
VIKOSI:
Manchester United: De Gea 6, Rafael 6, Buttner 6 (Valencia 88), Jones 7, Ferdinand 5, Evans 6, Januzaj 7, Giggs 5 (Cleverley 63, 6), Rooney 7, Kagawa 6, Young 5 (Van Persie 63, 6)
Subs not used: Anderson, Lindegaard, Hernandez, Nani
Goal: Jones 67
Booked: Buttner, Cleverley
Manager: David Moyes 6
Shakhtar Donetsk: Pyatov 6, Srna 6, Shevchuk 6, Stapenenko 6, Kucher 6, Rakitskiy 7, Douglas Costa 7, Fred 6 (Fernando 80), Luiz Adriano 6 (Ferreyra 88), Teixeira 8, Taison 7 (Bernard 63, 6)
Subs not used: Hubschman, Eduardo, Kanibolotskiy, Krivtsov
Booked: Srna, Kucher
Manager: Mircea Lucescu 6
Man of the match: Alex Teixera
Referee: Milorad Mazic 6

No comments:

Post a Comment