LEO kwenye hatua ya Makundi Jumanne Manchester City imeendeleza kichapo kwa timu ya Bayern Munich kwa bao 3-2, kwenye hatua ya mwisho licha ya kuwa City walikuwa wameishafuzu tayari kuingia raundi ya mtoano ya Timu 16, Bayern Munich ndio walioanza kutawala mchezo na kufunga mabao kwanza katika kipindi cha kwanza, Bao la kwanza likifungwa na Thomas Müller dakika ya 5 huku la pili likifungwa na mchezaji matata Mario Götze dakika ya 12. City hawakufa moyo waliendelea kujibu mashambulizi ili kusawazisha mabao hayo.Dakika ya 28 mchezaji wa City David Silva akafanikiwa kupata bao lililowapa nguvu Cuty na kuongeza mashambulizi zaidi. Kipindi cha pili Bayern Munich walifanya ndivyo sivyo na mwamuzi kusema mpira utengwe eneo la penati na Aleksandar Kolarov kufanikiwa kuachia mkwaju huo na kufunga bao katika dakika ya 59. James Milner akamalizia bao la ushindi katika dakika ya 62 na mpira kumalizika City wakiwa juu ya bao 3-2.
Wachezaji wa City wakipongezana baada ya kusawazisha bao
Aleksandar Kolarov akiisawazishia bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-2
Thomas Muller akishangilia bao lake
David Silva akimfunga kipa wa Bayern Manuel Neuer na kufanya 2-1 katika kipindi cha kwanza
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Pizarro, Contento.
Scorers: Muller 5, Goetze 12 Booked: Dante
Man City: Hart 7; Richards 6 (Zabaleta 16, 7), Demichelis 6, Lescott 5, Kolarov 6; Garcia 6, Fernandinho 7; Navas 7, Silva 7 (Negredo 73, 7), Milner 8; Dzeko 7 (Rodwell 88).
Subs: Pantilimon, Kompany, Aguero, Boyata.
Scorers: Silva 28, Kolarov pen 58, Milner 62 Booked: Dzeko, Milner
Referee: David Borbalan (Spain)
Man of the match: James Milner
Wachezaji wa City wakipongezana baada ya kusawazisha bao
Aleksandar Kolarov akiisawazishia bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-2
Thomas Muller akishangilia bao lake
David Silva akimfunga kipa wa Bayern Manuel Neuer na kufanya 2-1 katika kipindi cha kwanza
wachezaji wa Bayern Munich wakipongezana bao la Mario Gotze
Kocha wa City Pellegrini bado anajipa moyo kuwa timu yake ni tishio na hakuna cha Barca wala Real zote amezipania kuzichapa tu.
Man Citybado wapo nafasi ya pili kwa utofauti wa mabao licha ya kuibuka na ushindi leo na walicheza mechi hii wakiwa wamefudhu tayari.
VIKOSI:
Bayern Munich:
Neuer 6; Lahm 6, Boateng 5, Dante 5, Alaba 6; Thiago 7; Müller 7,
Goetze 6 (Martinez 55, 6), Kroos 6, Ribery 7; Mandzukic 6 (Shaqiri 69,
5). Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Pizarro, Contento.
Scorers: Muller 5, Goetze 12 Booked: Dante
Man City: Hart 7; Richards 6 (Zabaleta 16, 7), Demichelis 6, Lescott 5, Kolarov 6; Garcia 6, Fernandinho 7; Navas 7, Silva 7 (Negredo 73, 7), Milner 8; Dzeko 7 (Rodwell 88).
Subs: Pantilimon, Kompany, Aguero, Boyata.
Scorers: Silva 28, Kolarov pen 58, Milner 62 Booked: Dzeko, Milner
Referee: David Borbalan (Spain)
Man of the match: James Milner
No comments:
Post a Comment