FIFA imethibitisha orodha ya majina ya wachezaji watatu walioingia Fainali ya kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka 2013, Ballon d'Or ambao ni mtetezi Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Franck Ribery.
Messi ameshinda mfululizo mara nne tuzo zilizopita, lakini safari hii ni Ronaldo anayepewa nafasi kubwa ya kutwaa mpira wa dhahabu.
Franck Ribery, ambae ametinga kwenye Listi ya Mwisho ya Wagombea ya Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani, 2013 Ballon d'Or, ametangazwa kuwa ndie Mchezaji Bora wa France kwa 2013.
Jarida maarufu la Nchi hiyo, France Football, ambalo ndio walioanzisha Ballon d'Or Mwaka 1956 ili kumpata Mchezaji Bora Ulaya na kuanzia Mwaka 2010 wakashirikiana na FIFA kumpata Mchezaji Bora Duniani na kumpa Tuzo iitwayo FIFA Ballon d'Or, ndio pia hutoa Tuzo ya Mchezaji Bora wa France.
Ribery, anaechezea Klabu Bingwa ya Ulaya na Germany, Bayern Munich, amewabwaga Kiungo wa Juventus Paul Pogba na yule wa Paris St Germain, Blaise Matuidi, katika Kura iliyopigwa na Wachezaji wa zamani na wa sasa wa France.
Hii ni mara ya 3 kwa Ribery kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa France na mwenyewe amesema nia yake ni kuivunja Rekodi ya Thierry Henry alietwaa Tuzo hiyo mara 5.
Mwaka huu, Ribery aliweza kuisaidia Klabu yake Bayern Munich kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI, Bundesliga na German Cup, na pia yupo kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani, 2013 Ballon d'Or, akichuana na Cristiano Ronaldo na Lionel Messi na Mshindi wake atatajwa Januari 13.
Nae Kocha wa AS Roma, Rudi Garcia, ambae alijiunga na Klabu hiyo ya Serie A huko Italy mwanzoni mwa Msimu akitokea Klabu ya France Lille, na ambe hajafungwa katika Mechi 15 za Ligi, ndie ametangazwa kuwa ndie Kocha Bora wa France kwa 2013 baada ya Kura iliyopigwa na Makocha wa sasa na zamani huko France.
KIKOSI BORA CHA WACHEZAJI 11 WA FIFA.

Makipa:
Gianluigi Buffon (Italy, Juventus); Iker Casillas (Spain, Real Madrid CF); Petr Cech (Czech Republic, Chelsea FC); Manuel Neuer (Germany, FC Bayern München), Víctor Valdes (Spain, FC Barcelona).
Mabeki:
David Alaba (Austria, FC Bayern München); Jordi Alba (Spain, FC Barcelona); Dani Alves (Brazil, FC Barcelona); Leighton Baines (England, Everton FC); Jérôme Boateng (Germany, FC Bayern München);Ashley Cole (England, Chelsea FC); Dante (Brazil, FC Bayern München); Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund); Branislav Ivanović (Serbia, Chelsea FC); Vincent Kompany (Belgium, Manchester City FC); Philipp Lahm (Germany, FC Bayern München); David Luiz (Brazil, Chelsea FC); Marcelo (Brazil, Real Madrid CF); Pepe (Portugal, Real Madrid CF); Gerard Piqué (Spain, FC Barcelona); Sergio Ramos(Spain, Real Madrid CF ); Thiago Silva (Brazil, Paris St-Germain FC); Raphaël Varane (France, Real Madrid CF); Nemanja Vidić (Serbia, Manchester United FC); Pablo Zabaleta (Argentina, Manchester City FC).
Viungo:
Xabi Alonso (Spain, Real Madrid CF); Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur FC/Real Madrid CF);Sergio Busquets (Spain, FC Barcelona); Steven Gerrard (England, Liverpool FC); Andrés Iniesta (Spain, FC Barcelona); Isco (Spain, Málaga CF/ Real Madrid CF); Mesut Özil (Germany, Real Madrid CF/Arsenal FC); Andrea Pirlo (Italy, Juventus); Marco Reus (Germany, Borussia Dortmund); Franck Ribéry (France, FC Bayern München), Arjen Robben (Netherlands, FC Bayern München); Bastian Schweinsteiger(Germany, FC Bayern München); Yaya Touré (Côte d’Ivoire, Manchester City FC); Arturo Vidal (Chile, Juventus); Xavi (Spain; FC Barcelona).
Washambuliaji:
Sergio Agüero (Argentina, Manchester City FC); Mario Balotelli (Italy, Manchester City FC/AC Milan); Edinson Cavani (Uruguay, SSC Napoli/Paris Saint-Germain FC); Diego Costa (Spain, Club Atlético de Madrid); Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid CF); Didier Drogba (Côte d’Ivoire, Shanghai Shenhua FC/Galatasaray SK); Radamel Falcao (Colombia, Club Atlético de Madrid/AS Monaco FC); Zlatan Ibrahimovi (Sweden, Paris Saint-Germain FC); Robert Lewandowski (Poland, Borussia Dortmund); Mario Mandžukić (Croatia, FC Bayern München); Lionel Messi (Argentina, FC Barcelona); Neymar (Brazil, Santos FC/FC Barcelona); Wayne Rooney (England, Manchester United FC); Luis Suárez (Uruguay, Liverpool FC); Robin van Persie (Netherlands, Manchester United FC).

No comments:
Post a Comment