BUKOBA SPORTS

Monday, December 2, 2013

WANAMUZIKI KUTOKA ANGA MBALIMBALI BARANI AFRIKA WALIVYOKAMUA KWENYE MISS TANZANIA USA PAGEANT


Mwanamuziki Adele Clarice kutoka Cameroon akiimba nyimbo za Taifa za Marekani na Tanzania na baadae kuimba singo zake mpya alishangiliwa sana na umati wa watu alipokua kiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania kwa stadi bila kupindisha kiswahili utafikiri anatoka Tegeta, Dar es Salaam.

Mwanamuziki toka Ethiopia Betty G akitamba kwenye ukijimwaya mwaya ukumbini


Betty G

Mwanamuzi kutoka Cameroon Naomi Achu naye akifanya vitu vyake.


Mwanamuziki na mcheza sinema kutoka Ghana Kobi Maxwell akifunga pazia la makamuzi,

Kobi Maxwell akikamua na Adele Clarice

Dogo Al kutoka Delaware akikamua Azonto kisawa sawa na kunogesha usiku wa Miss Tanzania USA Pageant

No comments:

Post a Comment