Penati hizo za Ronaldo zilifungwa Dakika ya 7 na 16 na kuwabwaga nje Atletico Madrid ambao ndio walikuwa Mabingwa Wateteza wa Kombe hili.
Sasa Real wametinga Fainali kwa Jumla ya Bao 5-0 baada kushinda Mechi ya Kwanza 3-0 huko Santiago Bernabeu Wiki iliyopita.
Kwenye Fainali Real itacheza na Mshindi wa Leo kati ya Real Sociedad na Barcelona ambao wanarudiana huko Estadio Anoeta huku Barcelona wako mbele kwa Bao 2-0 walizopata huko Nou Camp Wiki iliyopita.
Bale akiendesha!!
Bale akiongea na Ronaldo wakati wa mtange wao na Atletico
Ronaldo akichuana na Miranda pamoja na Emiliano Insua
Ronaldo akishangilia baada ya kufunga bao la pili na mchezo kumalizika 2-0
No comments:
Post a Comment