BUKOBA SPORTS

Friday, February 7, 2014

HAPPY 36th BIRTHDAY OMOTOLA JALADE.


Muigizaji nguli wa kiwanda cha filamu nchini Nigeria (Nollywood), Omotola Jalade – Ekeinde a.k.a ‘Omo sexy’ alizaliwa February 07 mwaka 1978 hivyo leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 36.
Alianza rasmi fani ya uigizaji mnamo mwaka 1995, anatajwa kuwa miongoni wa wasanii wa filamu nchini Nigeria akiwa ameigiza muvi zaidi ya 300 huku akiwa ni mama wa watoto wanne aliozaa na kapteini wa jeshi, Matthew Ekeinde.SEE Genevieve Nnaji Sweet birthday message to Omotola Jalade-Ekehinde!

No comments:

Post a Comment